UKATAJI WA MITI OVYO.

Tukumbuke kuwa  miti ni kitu muhimu sana katika mazingira yetu yanayo tuzunguka.Na pia miti ni  chanzo kikubwa cha maji katika  mazingira yetu,Ninaweza nikasema pia  miti ndiyo kila kitu  kwani miti inaumuhimu mkubwa sana  hivyo basi jamii nzima inashauriwa kutunza vyema mazingira yetu.

Tukumbuke kuwa tukikata miti ovyo tutasababisha majanga makubwa sana,kama vile  kukosa vyanzo vya maji,kusababisha mmomonyoko wa udongo,

Unknown

No comments:

Post a Comment

Instagram